RUBEN ELECTRONICS

RUBEN ELECTRONICS
Wauzaji wa vifaa mbalimbali vya Umeme na vifaa vya Muziki kama: Spika za wazi, Box Speaker, Microphones, Tweeter, Amplifiers, Mixer, Power Mixer, Cross over, Booster, Equlizer, Stend za Mic, Stand za Spika, stendi za Music System, na kadhalika. Duka letu liko Kariakoo Dar es salaam mtaa wa Msimbazi mkabala na stendi ya daladala ya magari yaendayo Mbagala. Vifaa vyetu vina Ubora wa hali ya juu, bei zetu ni nafuu sana. Kwa mawasiliano piga simu namba: 0786 28 76 95.