RUBEN ELECTRONICS

RUBEN ELECTRONICS
Wauzaji wa vifaa mbalimbali vya Umeme na vifaa vya Muziki kama: Spika za wazi, Box Speaker, Microphones, Tweeter, Amplifiers, Mixer, Power Mixer, Cross over, Booster, Equlizer, Stend za Mic, Stand za Spika, stendi za Music System, na kadhalika. Duka letu liko Kariakoo Dar es salaam mtaa wa Msimbazi mkabala na stendi ya daladala ya magari yaendayo Mbagala. Vifaa vyetu vina Ubora wa hali ya juu, bei zetu ni nafuu sana. Kwa mawasiliano piga simu namba: 0786 28 76 95.

Saturday, October 11, 2014

JIPATIE VIFAA MBALIMBALI VYA MUZIKI

Pata vifaa mbalimbali vya muziki na vifaa mbalimbalimbalimbali vya umeme
Vocal mic

Disco light
Cross over

Magnet za tweer

Guital



Duka letu liko Kariakoo jijini  Dar es salaam mtaa wa Msimbazi kwenye stand ya magari yakokayo Kariakoo kwenda Mbagara. Kwa wateja wetu wa mikoani tupe oda nasi tutakusafirishia mpaka mkoani kwako uliko kwa mahitaji ya vifaa mbalimbali piga simu no:
0786 28 76 95 na 0764 41 46 46 BEI ZETU NI NAFUU SANA.

8 comments:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. Natafuta s-video cables naweza kupata hapo ofisini kwenu

    ReplyDelete
  3. Natafuta pev spika (midd) zitapatkana

    ReplyDelete
  4. Natafuta pev spika (midd) zitapatkana

    ReplyDelete
  5. naomba kufahamu bei za spika nzuri na mpya kutoka kwenu na zenye ubora

    ReplyDelete
  6. Nimepiga simu kwenye hizo namba moja haipatikani nyengine imepokelewa wamenijibu ujinga...

    ReplyDelete